RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
01
2023
JUKWAA LA WAHARIRI 2023
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajil Ufilisi na Udhamini (RITA) leo Aprili 01,2023 umetoa mafunzo kwa Wahariri wa vyombo vya habari Kuhusu mfumo mpya wa utoaji huduma kidijitali unaojulikana Kama eRITA. Mafunzo hayo ya siku moja yametolewa kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) katika Mkutano wao wa 12 wa mwaka wa kitaaluma Mkoani Morogoro.
View Full Page