RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
October
10
2023
TATHMINI U5BRI MKOANI KAGERA
News Update
Dar es Salaam



`
Kikao cha Tathmini ya Mpango wa usajili wa watoto wa Umri Chini ya Miaka Mitano kimefanyika leo kikiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa Mhe. Kanali Wilson Sakulo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwa pamoja na RITA ambayo ujumbe wake uliongozwa na Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Frank Kanyusi na Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irene Lesulie.
View Full Page