RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
December
18
2023
Mafunzo viongozi RITA
News Update
Dar es Salaam



`
Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irine Lesulie akifungua mafunzo maalum yanayotolewa na Uongozi Institute yenye lengo la kuinoa Menejimenti ya RITA katika masuala mbalimbali ya uongozi na uwajibikaji, mafunzo hayo yameanza leo Disemba 18, 2023 Jijini Arusha.
View Full Page