RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
August
09
2017
UHAKIKI WA VYETI
News Update
Dar es Salaam



`
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson amewataka waombaji wote wa Mikopo ya Elimu ya Juu kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo katika ofisi za wilaya zilizotoa vyeti hivyo au RITA Makao Makuu wakati wa Mkutano wa pamoja na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika Ukumbi wa Habari Maelezo hii leo Jijini Dar es salaam,kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa Bodi ya Mikopo Bw Abdul-Razaq Badru mwingine ni Afisa Usajili mwandamizi wa Vizazi na Vifo Adam Mkolabigawa.
View Full Page