RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) unalenga kuhakikisha usimamizi bora na wenye ufanisi wa taarifa kuhusu matukio muhimu ya maisha, usajili wa wadhamini, pamoja na kulinda mali zilizo chini ya udhamini, mali za marehemu, wadaiwa waliofilisika na watoto wadogo, ili kuhakikisha kuwa sheria inachukua mkondo wake.