Dira na Dhima

Dira

Dira ya RITA ni kuwa chombo chenye ufanisi katika utoaji wa huduma za usajili, ufilisi na udhamini.

Dhima

Dhima ya RITA ni kusimamia haki kwa usimamizi wenye ufanisi wa kumbukumbu muhimu za maisha ya binadamu, ufilisi na udhamini ili kuchangia katika maendeleo ya taifa.

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) linakusudia katika utoaji wa habari nzuri na thabiti juu ya matukio muhimu maishani, ushirikishwaji wadhamini, utunzaji wa mali chini ya udhamini, za mtu aliyefariki, muflisi, na umri chini ya utu uzima(chini ya miaka 18)  ili kuwezesha sheria kuchukua mkondo wake.

RITA ilizinduliwa rasmi tarehe 23 Juni 2006 na kuibadili Idara ya Kabidhi Wasii Mkuu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Wizara ya Sheria na Mambo ya Katiba.more >>Ujumbe wa Mtendaji Mkuu
Phillip G. Saliboko
Afisa Mtendaji Mkuu
Habari na Matangazo
Sheria
There are various laws that govern RITA's functions in terms of activities.
Matukio ya Kalenda
17
july
17th July, 2013
RITA New Website and Mobile Service Launch Event
Kuungana na sisi