Mabadiliko ya ada za huduma ya Miunganisho ya Wadhamini
RITA) imewasilisha taarifa ya utekelezaji na usimamizi wa Bodi za Wadhamini wa Taasisi za Kidini, vyama vya Siasa, vyama vya Michezo na taasisi za kijamii kwa Kamati ya Bunge Utawala, katiba na Sheria.
Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Damas Ndumbaro akihutubia wajumbe wa Bodi za wadhamini Jijini Dar es Salaam.
Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi leo Septemba 23, 2024 Jijini Dodoma amefungua kikao kazi cha kuandaa sera ya uwajibikaji kwa jamii.