RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
September
30
2025
RITA YASHIRIKI MAONESHO NA MKUTANO WA 11 WA WADAU WA LISHE NCHINI
News & Update
`

Waziri Mkuu wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea banda la RITA leo Septemba 30, 2025 katika mkutano wa 11 wa wadau wa lishe unaoendelea katika ?ukumbi wa mikutano wa APC bunju. 

?Katika uzinduzi huo, Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza taasisi ya RITA kwa kutengeneza mfumo wa uchakataji maombi ya vyeti kwa njia ya kidigitali uitwao eRITA. 

?Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) unashiriki mkutano huo kwa kutoa huduma za usajili wa vizazi na vifo, elimu kuhusu kuandikana kuhifadhi wosia, usimamizi wa mirathi pamoja na usajili wa bodi za Wadhamini wa taasisi, asasi za kiraia, madhebebu ya dini na vilabu vya michezo.