RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja, Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeweka dawati maalum kwa lengo la kuwahudumia wananchi, kupokea maoni na kutatua changamoto mbalimbali za wateja.