RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irene Lesulie ameongoza kikao na wawakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) kuhusu namna ya kuweka mikakati ya pamoja lenye lengo la kuboresha huduma za Wakala.
Kikao hicho kimefanyika leo Oktoba 10, 2025 katika ofisi za RITA Makao Makuu Jijini Dar es Salaam.