Swahili   |   English
Albamu ya Picha


Mama Samia Legal Aid Simiyu
[ View Pictures..... ]

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO WATUMISHI WAPYA
[ View Pictures..... ]

KIKAO USAJILI WATOTO KIGOMA
[ View Pictures..... ]

Nanenane Mbeya 2023
[ View Pictures..... ]

Mkataba Tanzania na Italia
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2023
[ View Pictures..... ]

PONGEZI
[ View Pictures..... ]

Kikao wadau wa Usajili Kagera
[ View Pictures..... ]

Mama Samia Legal AID Manyara
[ View Pictures..... ]

KIKAO NA MABALOZI
[ View Pictures..... ]

Mei Mosi 2023
[ View Pictures..... ]

Tanzania Development Festival
[ View Pictures..... ]

UTOAJI WA HUDUMA BUNGENI
[ View Pictures..... ]

Tuandike Wosia, Waziri Mkuu
[ View Pictures..... ]

Sikukuu ya Muungano 2023
[ View Pictures..... ]

Sikukuu ya Muungano 2023
[ View Pictures..... ]

JUKWAA LA WAHARIRI 2023
[ View Pictures..... ]

Ziara Naibu Waziri 2023
[ View Pictures..... ]

Bodi ya Ushauri RITA
[ View Pictures..... ]

Siku ya Wanawake 2023
[ View Pictures..... ]

HONGORA KWA KUTEULIWA
[ View Pictures..... ]

Pongezi Naibu Waziri
[ View Pictures..... ]

SALAMU ZA PONGEZI 2023
[ View Pictures..... ]

Kikao Viongozi wa DINI 2023
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi wa Bodi 2023
[ View Pictures..... ]

WIKI YA SHERIA 2023

RITA YASHIRIKI WIKI YA SHERIA 2023. Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA)unashiriki Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayofanyika kuanzia tarehe 22 -31 Januari 2023 katika Viwanja vya Nyerere Square mkoani Dodoma, Viwanja vya Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam pamoja na viwanja vya General Mayunga mkoani Kagera. Wiki ya Sheria imezinduliwa leo ambapo Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo kitaifa mkoani Dodoma alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango. Katika mabanda ya RITA huduma mbalimbali zitatolewa ikiwa ni pamoja na elimu kuhusu huduma za Wakala, ushauri wa kisheria bure kuhusu Wosia na mirathi, Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa pamoja na maelezo ya kina kwa Bodi za wadhamini wa Taasisi kuhusu namna ya kuhuisha katiba zao.
[ View Pictures..... ]

WIKI YA SHERIA 2023
[ View Pictures..... ]

Bodi mpya ya Ushauri ya Wakala
[ View Pictures..... ]

Baraza la Wafanyakazi kikao 26
[ View Pictures..... ]

KIKAO CHA WADAU MKOANI KAGERA
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA MAFUNZO MKOANI MBEYA
[ View Pictures..... ]

RITA YAPOKEA UGENI

RITA YAPOKEA UGENI KUTOKA ETHIOPIA NA SIERA LEONE KWA ZIARA YA MAFUNZO KUHUSU USAJILI WA VIZAZI Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imepokea ugeni watu 16 kutoka nchi za Ethiopia na Siera Leone waliokuja kwa ziara ya Mafunzo katika maeneo ya Usajili wa Vizazi, utambuzi na Takwimu ambao watakuwa hapa nchini kwa ziara ya siku nne. Lengo la ziara hii ni kujifunza na kupata uzoefu wa jinsi Tanzania ilivyoweza kuleta mageuzi makubwa katika Usajili wa vizazi kupitia Mpango wa Usajili wa Watoto wa Umri Chini ya Miaka Mitano unaotekelezwa nchini. Aidha, watapata maelezo ya kina ya jinsi Simu za Kiganjani zilivyoweza kutumika kutuma taarifa za watoto waliosajiiwa kwenda kwenye kanzidata ya Wakala. Mpaka sasa Mpango huo unatekelezwa katika Mikoa 23 ya Tanzania Bara na umewezesha zaidi ya watoto milioni 8.1 kusajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa Mpango huu unatekelezwa kwa kusogeza huduma za usajili karibu na wananchi hivyo huduma kupatikana katika Ofisi za Watendaji Kata na Vituo vya Tiba Vinavyotoa Huduma ya mama na Mtoto . Wageni hao watatembelea Vituo vya Usajili katika mikoa ya Dar es Salaam na Mbeya na pia katika Ofisi kuu za NIDA zilizopo Kibaha Mkoani Pwani.
[ View Pictures..... ]

KIKAO CHA TATHMINI TABORA

KIKAO CHA TATHMINI YA USAJILI WA WATOTO WA UMRI CHINI YA MIAKA MITANO- TABORAMkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Dkt. Batilda Buriani ameongoza Kikao cha Tathmini ya Mpango wa Usajili wa Watoto wa Umri chini ya Miaka Mitano ulioanza kutekelezwa mkoani Tabora Mwezi June 2022. Katika hotuba yake Dkt. Buriani amesema kwamba Usajili kupitia mpango huu umeweza kuongeza kiwango cha Usajii wa Watoto kwa Mkoa wa Tabora kutoka asilimia 9 mpaka asilimia 49 hivyo kuna ongezeko la asilimia 40. Ameongeza kwamba Mkoa utahakikisha kwamba watoto wote ambao hawajapata huduma wanasajiliwa kwani ni haki yao ya Msingi ya Kutambuliwa na kuwataka Wasajili wasaidizi wote waendelee kutekeleza majukumu yao kwa weledi na uadilifu ili kuhakikisha watoto wanaopata vyeti vya kuzaliwa ni wale tu wanaostahili.Akiwasilisha salamu za Wizara ya Katiba na Sheria, Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa lengo la kuleta maboresho ya mfumo wa usajili kupitia Mkakati wa Kitaifa wa Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu na kuongeza kwamba Mpango wa Usajili wa Watoto wa Umri chini ya Miaka Mitano ni uthibitisho wa sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha watoto wanasajiliwa na kupata nyaraka ya awali na ya msingi ya utambulisho ambayo ni cheti cha kuzaliwa.Naye Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi. Angela Anatory ameeleza kwamba Mpaka sasa Mpango huu unatekelezwa katika mikoa 23 ya Tanzania Bara ambapo zaidi ya watoto 8,106,469 wamesajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa hivyo kuongeza kiwango cha usajili wa watoto nchini kutoka asilimia 13 na kufikia asilimia 65 hivyo kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano katika kuleta mageuzi makubwa katika usajili barani Afrika. Ameongeza kwamba anatoa shukrani kwa Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa, viongozi na watendaji wote kwa ushirikiano ambao wametoa kwa Wakala na wadau wengine kuanzia hatua za mwanzo za maandalizi mpaka kufikia hatua hii.
[ View Pictures..... ]

DODOSO LA WOSIA
[ View Pictures..... ]

MKUTANO MKUU WA MAWAKILI

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dkt. Damas Ndumbaro amewataka mawakili wa serikali ya Tanzania kutekeleza majukumu ya serikali kwa kuzingatia sheria kwa maendeleo ya nchi. Dkt. Ndumbaro ameongea hayo leo tarehe 30 Septemba 2022 wakati akifunga mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. Ameongeza na kusema kuwa "katika kauli mbiu yenu nimeona kuna mambo kadhaa ikiwemo uzingatiwaji wa sheria hivyo sisi kama mawakili wa serikali tuhakikishe tunazingatia sheria na haki kwa maendeleo ya Taifa letu la Tanzania na kusaidia kuepukana na migogoro mbalimbali inayosababishwa na ukosefu wa haki katika jamii yetu". Mawakili kutoka RITA wameshiriki kikao hicho kilichofanyika kwa siku tatu huku Wakala ukitoa huduma ya Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa, msaada wa kisheria kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na RITA. Aidha, Dkt. Ndumbaro amewataka mawakili hao wa serikali kutunza siri za serikali na kujikita zaidi katika matumizi ya TEHAMA yanayozingatia sheria na weledi na kuepuka kutumia vibaya mitandao kuchafua sifa ya serikali.
[ View Pictures..... ]

KIKAO CHA MAWAKILI WA SERIKALI
[ View Pictures..... ]

KIKAO MAWAKILI WA SERIKALI2022
[ View Pictures..... ]

Tume Haki za Binadamu 2022
[ View Pictures..... ]

Menejimenti RITA na Wizara
[ View Pictures..... ]

Taarifa ya utekelezaji wa
[ View Pictures..... ]

CRVS Day Afrika 2022
[ View Pictures..... ]

Error converting image (create thumbnail). The file "/usr/www/users/ritaag/files/album/IMG_20220808_232333_860.jpg" is invalid. MAONESHO YA NANENANE
[ View Pictures..... ]

Ziara Nyasa na Mbinga
[ View Pictures..... ]

Ziara Namtumbo Ruvuma
[ View Pictures..... ]

Mkutano na Wadau
[ View Pictures..... ]

RITA,Bodi ya Mikopo na Posta
[ View Pictures..... ]

Kikao cha tathimini Manyara
[ View Pictures..... ]

Hitimisho Mafunzo 2022
[ View Pictures..... ]

Mkutano wa Wafanyakazi 2022
[ View Pictures..... ]

Siku ya Mtoto wa Afrika 2022

Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika ni matokeo ya Azimio lililopitishwa na uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) mwaka 1990 kwa lengo la kumbukizi ya Watoto wa Kitongoji cha Soweto nchini Afrika Kusini waliouawa mnamo tarehe 16 Juni, 1976 kutokana na ubaguzi wa rangi. Watoto hao walikuwa wakidai haki zao za kutobaguliwa sambamba na haki nyingine za msingi za binadamu ikiwemo haki ya kupata elimu bora huku wakipinga mifumo ya elimu ya kibaguzi. Ili kuwakumbuka na kuunga mkono madai ya haki za watoto hao, OAU iliazimia kuwa tarehe 16 Juni kila mwaka iwe siku maalum ya kumbukizi ya Mtoto wa Afrika. Je umempatia mtoto wako haki yake ya kutambuliwa kwa kusajiliwa na kupatiwa cheti cha kuzaliwa? Kama tayari hongera kwa kutimiza wajibu wako na kama bado basi hujachelewa fanya hivyo ili Mtoto wako atimize ndoto katika maisha yake hapo baadaye kwa kumfungulia fursa ya elimu,matibabu na ajira.
[ View Pictures..... ]

RITA-NHIF Wakutana
[ View Pictures..... ]

Mkuu wa Mkoa wa Tabora
[ View Pictures..... ]

SENSA 23 AGOSTI, 2022
[ View Pictures..... ]

Ukaguzi wa usajili Tabora
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI USAJILI WATOTO TABORA
[ View Pictures..... ]

USAJILI WA WATOTO TABORA
[ View Pictures..... ]

Wadau Tathimini na Ufuatiliaji
[ View Pictures..... ]

MIAKA 58 YA MUUNGANO
[ View Pictures..... ]

MAKABIDHIANO YA OFISI
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2022
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WANAWAKE TANGAZO 2022
[ View Pictures..... ]

ZIARA MHE.WAZIRI SIMBACHAWENE
[ View Pictures..... ]

MKUTANO WA BARAZA 2021
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO RUKWA KATAVI
[ View Pictures..... ]

RITA-BODI YA BIKOPO
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WAJANE MKOANI KAGERA

WANANCHI MKOANI KAGERA WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUMALIZA MIGOGORO YA MIRATHI Kukosekana kwa uadilifu na mila potofu katika jamii kumechangia kuongezeka kwa matukio ya wajane kuporwa mali, kunyanyaswa, kuteswa na baadhi yao kupoteza maisha na kusababisha watoto walioachwa na marehemu kukosa malezi bora na hivyo kuamua kukimbia mitaani na kuwa omba omba. Hayo yameelezwa hii leo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Meja Jenerali Charles Mbuge wakati wa mafunzo maalum yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya wajane Duniani kwa lengo la kuwajengea uwezo Makatibu Tawala wa Wilaya na Maafisa Tarafa wa Mikoa ya Kigoma na Kagera kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia, usimamizi wa mirathi pamoja na huduma nyingine zinazotolewa na RITA. Kwa upande wa maadhimisho ya siku ya wajane yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Uhuru Platform Katibu Tawala wa Mkoa huo Prof.Faustin Kamuzora akiwasilisha hotuba kwa niaba ya Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaagiza viongozi kupitia ngazi zote kuhakikisha wanatafuta ufumbuzi wa haraka kuhusu kuongezeka kwa migogoro ya mirathi inayosababishwa kwa makusudi na baadhi ya wanandugu kwa makusudi. "Nawaagiza viongozi wa Mkoa kuanzia vitongoji, Vijiji,Kata na Wilaya kushughulikia na kumaliza migogoro ya mirathi inayosababishwa na ndugu wa marehemu wenye nia mbaya na kukosa huruma na hivyo kuwasababishia wajane na watoto kuishi kwa kutangatanga kwa kukosa msaada wa huduma mbalimbali zikiwemo malazi, chakula, mavazi na watoto kuacha shule".Alisema Prof. Kamuzora Naye mwakilishi wa Wajane Mkoa wa Kagera, Bi.Winifrida James Rwezaula alisema kupitia risala yake kuwa wajane wengi wanakosa ushirikiano mzuri kutoka katika vyombo mbalimbali vya maamuzi kuanzia ngazi za chini kabisa za serikali na hiyo ni kutokana na kwamba kundi hilo la wajane kutokutiliwa mkazo stahiki. Bi.Winfrida ametoa ombi kwa serikali kutambua rasmi kuwepo kwa wajane katika jamii ya watanzania na kuandaa mikakati ya kuwahusisha katika kila ngazi ya maamuzi kuanzia serikali ya kijiji, mtaa hadi serikali kuu. Kwa upande wake Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson amesema kuwa RITA ilianzisha huduma ya kuandika na kutunza wosia hasa baada ya kuona mashauri ya mirathi yanaongezeka kwa kasi na kuchukua muda mrefu kukamilika na warithi kuchelewa kupata haki zao. Bi Hudson ameongeza kuwa Wajane ni wadau muhimu kutokana na huduma mbalimbali zinazotolewa na RITA kuwagusa moja kwa moja katika maisha yao ya kila siku, kama vile kusajili na kupata vyeti vya kuzaliwa na vifo pamoja na huduma za usimamizi wa mirathi. ‘’Pia nichukue nafasi hii kutoa wito kwa jamii kuacha kuogopa kwa kuamini mila potofu kwamba kuandika Wosia ni uchuro, imani hiyo si kweli kwani mpaka sasa tumeandika na kutunza wosia 790 kati ya hizo zilizochukuliwa ni wosia 50 na kusimamia mashauri ya mirathi 112.’’Alisema Bi Hudson. Katika maadhimisho ya mwaka huu RITA inashiriki kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam na Mkoani Kagera kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia na usimamizi wa mirathi.
[ View Pictures..... ]

HAKI MIRATHI WILAYA YA TEMEKE
[ View Pictures..... ]

RITA /BODI YA MIKOPO
[ View Pictures..... ]

ARUSHA MANYARA U5BRI
[ View Pictures..... ]

Usajili wa vifo Mkoa wa Mbeya
[ View Pictures..... ]

TAARIFA KWA KAMATI YA BUNGE
[ View Pictures..... ]

Warsha ya Viongozi wa Dini
[ View Pictures..... ]

Siku ya Wanawake Duniani 2021
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO YA USAJILI MWANZA
[ View Pictures..... ]

Kamati ya Katiba na Sheria

Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imetoa wito kwa wananchi kuandika na kuhifadhi wosia katika Taasisi ya RITA ili kuepuka migogoro ndani ya familia inayosababishwa na ndugu kulazimisha kurithi mali za marehemu kinyume na taratibu na Sheria zinazosimamia masuala ya mirathi. Akizungumza hii leo katika kikao cha kamati Jijini Dodoma Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Mohamed Mchengerwa amewahimiza Wabunge wote ambao bado hawajaandika Wosia kufanya hivyo ikiwa kama sehemu ya kuwahamasisha wananchi wao kuchukua hatua mapema na kulifanya jambo hilo kuwa ni kipaumbele hasa ukizingatia migogoro na kesi nyingi zinazohusu mirathi zinatokea katika majimbo yao. "kwa kiasi kibubwa migogoro mingi hutokea na ukifuatilia chanzo chake unabaini kinasababishwa na kutoachwa muongozo unaotoa maelekezo kuhusu mgawanyo wa mali za marehemu".Alisema Mhe. Mchengerwa.
[ View Pictures..... ]

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA
[ View Pictures..... ]

MHE. WAZIRI ATEMBELEA RITA
[ View Pictures..... ]

KAMPENI WILAYA YA ARUSHA MJINI
[ View Pictures..... ]

ELIMU KWA VIONGOZI WA DINI
[ View Pictures..... ]

MAPOKEZI YA MAGARI YA WAKALA
[ View Pictures..... ]

WIKI YA MSAADA WA KISHERIA
[ View Pictures..... ]

Mapokezi ya magari ya Wakala
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO KWA VIONGOZI WA DINI
[ View Pictures..... ]

Mkutano na Wadau Jijini Arusha
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
[ View Pictures..... ]

UHUSIANO NA WADAU
[ View Pictures..... ]

ONE STOP JAWABU TEMEKE
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA ONE STOP JAWABU
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA ONE STOP JAWABU
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi Kilimanjaro na Tanga
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA KUSAJILI WATOTO
[ View Pictures..... ]

MAONESHO YA NANENANE
[ View Pictures..... ]

U5BRI KILIMANJARO NA TANGA
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WAJANE DUNIANI

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umetoa elimu kwa wajane kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia pamoja na msaada wa kisheria kuhusu suala la usimamizi wa mirathi. Akizungumza na Wajane hii leo jijini Dar es salaam katika semina maalum ya siku moja, Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi Emmy K. Hudson amewataka wajane kutokata tamaa kutokana na migogoro ya kugombania Mali zinazoachwa na waume zao kutoka kwa ndugu wa marehemu badala yake watulie na kufuata taratibu za kisheria ili kumaliza matatizo yanayowakabili, " najua mnanyanyasika, mnateseka lakini niwahakikishie kwamba RITA ni Taasisi ya Serikali ipo itawasaidia ili haki itendeke na muweze kurudi katika hali zenu za kawaida za uzalishaji mali na kulijenga Taifa badala ya kuendelea kuishi kwa majonzi na kukata tamaa."Alisema Bi Hudson. Siku ya wajane duniani huadhimishwa kila inapofika tarehe 23 Juni ambapo nchini Tanzania kitaifa maadhimisho hayo yalifanyika mkoani Dodoma na mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Mhe.Ummy Mwalimu.
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WAJANE DUNIANI
[ View Pictures..... ]

E-Huduma
[ View Pictures..... ]

TAHADHARI KUHUSU CORONA
[ View Pictures..... ]

WOSIA
[ View Pictures..... ]

RITA YAKABIDHI MALI MBEYA CLUB

Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu (RITA) imekabidhi rasmi Mali za Mbeya Club kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kuzisimamia na kuziendesha. Makabidhiano yamefanyika Mkoani Mbeya kwa kusaini Mkataba wa Makabidhiano wa mali kati ya Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu ikiwakilishwa na Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyowakilishwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa Dr. Salum Manyata. RITA ilikabidhiwa mali za Mbeya Club kama Mdhamini wa Umma baada ya kufungua shauri Mahakama Kuu kuomba kuzisimamia mali za iliyokuwa Mbeya Club kutokana na Bodi yake ya Wadhamini kutowasilisha marejesho ya kila mwaka na hivyo kutokuwa hai kwa zaidi ya miaka 35 na hivyo kukosa uhalali wa kisheria wa kuendelea kusimamia mali za Taasisi hiyo. Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya iliridhia ombi hilo kupitia Hukumu iliyotolewa na Mheshimiwa Jaji Dustan Ndunguru ya tarehe 26 Juni 2019 na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kupewa usimamizi wa mali za taasisi hiyo kama Mdhamini wa Umma (Public Trustee).
[ View Pictures..... ]

RITA YAKABIDHIWA MALI YA ITOA
[ View Pictures..... ]

RITA TO REGISTER STUDENTS
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2020
[ View Pictures..... ]

U5BRI MKOA WA RUVUMA, 2020
[ View Pictures..... ]

MAKUBALIANO- UHAMIAJI NA RITA
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI U5BRI MOROGORO/ PWANI
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO MOROGORO- PWANI
[ View Pictures..... ]

RITA-POSTA MKATABA
[ View Pictures..... ]

MAADHIMISHO YA FIMBO NYEUPE
[ View Pictures..... ]

ZIARA UBALOZI WA MAREKANI
[ View Pictures..... ]

RITA YATOA MSAADA KWA JAMII
[ View Pictures..... ]

CRVS DAY 2019
[ View Pictures..... ]

SHERIA YA UFILISI
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA UHAKIKI 2019/2020
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA UHAKIKI
[ View Pictures..... ]

UHAKIKI WA VYETI
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO DODOMA SINGIDA
[ View Pictures..... ]

U5BRI DODOMA NA SINGIDA
[ View Pictures..... ]

KIKAO NA WADAU WA MAENDELEO
[ View Pictures..... ]

TUZO TAARIFA BORA ZA KIFEDHA
[ View Pictures..... ]

KIKAO CHA TATHMINI IRINGA
[ View Pictures..... ]

USAJILI WA WANAFUNZI SONGEA
[ View Pictures..... ]

WIZARA YAFURAHISHWA NA BODI
[ View Pictures..... ]

USAJILI SINGIDA (5-17 BRI)
[ View Pictures..... ]

MKOA WA KAGERA NA KIGOMA
[ View Pictures..... ]

KIKAO NA WADAU
[ View Pictures..... ]

Wanasheria wa Serikali
[ View Pictures..... ]

CRVS DAY
[ View Pictures..... ]

SIKU YA CRVS AFRIKA
[ View Pictures..... ]

TATHIMINI MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

UHAKIKI WA WANAFUNZI
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI WA BRS4G DODOMA
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA UHAKIKI WA VYETI
[ View Pictures..... ]

RITA - BODI YA MIKOPO
[ View Pictures..... ]

TANGAZO KWA WAHITIMU WOTE
[ View Pictures..... ]

RITA - BENKI YA DUNIA
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI U5BRI MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

USAJILI MKOA WA MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

MABORESHO USAJILI WA VIFO
[ View Pictures..... ]

WIKI YA SHERIA 2018
[ View Pictures..... ]

MALIPO NJIA YA KIELEKRONIKI
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA KIFO
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO KUHUSU MIRATHI
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI U5BRI LINDI NA MTWARA
[ View Pictures..... ]

Lindi na Mtwara wapokea U5BRI
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA MHE,WAZIRI WA KATIBA
[ View Pictures..... ]

BRS4G MKOA WA DAR ES SALAAM
[ View Pictures..... ]

UHAKIKI WA VYETI
[ View Pictures..... ]

SEMINA YA WAHARIRI.
[ View Pictures..... ]

RITA- Mrajis Zanzibar.
[ View Pictures..... ]

Mkutano wa Wadau kuhusu CRVS
[ View Pictures..... ]

USAJILI MKOA WA SHINYANGA
[ View Pictures..... ]

Usajili Geita Shinyanga
[ View Pictures..... ]

TANZIA
[ View Pictures..... ]

USAJILI GEITA NA SHINYANGA
[ View Pictures..... ]

Usajili Wanafunzi Temeke
[ View Pictures..... ]

Makabidhiano ya tuzo
[ View Pictures..... ]

Siku ya sheria
[ View Pictures..... ]

RITA YAVUKA MALENGO YA USAJILI
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO VIFAA TIBA.
[ View Pictures..... ]

Wadau wa Masuala ya Usajili
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi Usajili wa Watoto
[ View Pictures..... ]

U5BRI MKOA WA IRINGA NA NJOMBE
[ View Pictures..... ]

RIPOTI UHAKIKI ASASI ZA KIRAIA
[ View Pictures..... ]

Mhe Waziri Dkt Mwakyembe
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA WOSIA MBEYA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbeya Bi Quip Mbeyela ambaye ni Mgeni rasmi akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni ya utoaji elimu na huduma ya msaada wa kisheria bure kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia na mambo ya Mirathi hii leo katika viwanja vya stendi ya Kabwe Jijini Mbeya kulia kwake ni Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Jiji la mbeya Bw Vicent Msolla na wengine ni Mawakili wa serikali kutoka RITA Makao Makuu. RITA inaendelea na kampeni kama hizi katika Wilaya mbalimbali nchi nzima kuhakikisha wananchi wanafahamu umuhimu wa kuandika na kuhifadhi Wosia na kushughulikia mambo ya mirathi ambapo eneo hilo limeonekana kuwa na migogoro mingi inayopelekea familia nyingi kukosa haki ya kurithi mali alizoziacha Marehemu na hivyo kusababisha Watoto kuacha shule na kukimbilia mitaani pamoja na Wajane kuanza maisha mapya ya umasikini na majuto.
[ View Pictures..... ]

MIAKA KUMI KUANZISHWA KWA RITA
[ View Pictures..... ]

UPIMAJI VVU NA MAGONJWA SUGU
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA USAJILI - CHATO
[ View Pictures..... ]

Elimu ya Wosia na Mirathi
[ View Pictures..... ]

Baraza la Wafanyakazi 2016
[ View Pictures..... ]

WANANCHI WAKIPATA HUDUMA

Wananchi wametakiwa kufuatilia vyeti vya kuzaliwa vya Watoto wao ndani ya siku 90 mara baada ya Mtoto kuzaliwa ili kuepukana na msongamano unaosababishwa na uharaka wa cheti hicho pindi kinapohitajika sehemu mbalimbali za huduma za kijamii ikiwemo bima ya afya na Mamlaka za ajira. Kwa upande wa watu wazima na vijana ambao hawana vyeti vya kuzaliwa ni vizuri kuanza mapemba taratibu za maombi ya usajili na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kabla havijahitajika kwa matumizi mbalimbali. Ni kawaida kila mwaka kuwa na kundi kubwa la vijana kutoka vyuo mbalimbali na shule za sekondari wanaohitaji kujiunga na masomo au kuomba ajira na hivyo kukosa nyaraka hiyo muhimu na kusababisha wengi wao kuhitaji kwa haraka hali inayosababisha msongamano katika ofisi za RITA kote Nchini ikiwemo Makao Makuu Jijini Dar es salaa.
[ View Pictures..... ]

Wizara na Taasisi za Serikali.
[ View Pictures..... ]

Kikao cha Kamati ya CRVS
[ View Pictures..... ]

Kampeni wilaya ya Arusha
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA KATIBU MKUU- RITA
[ View Pictures..... ]

Ziara.
[ View Pictures..... ]

Cheti cha kuzaliwa ni Haki
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi wa Bodi Mpya
[ View Pictures..... ]

SALAMU ZA PONGEZI
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Mkutano na waandishi wa HabarI
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

U5BRI
[ View Pictures..... ]

MEI MOSI 2015
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Siku ya Wanawake Duniani
[ View Pictures..... ]

6-18 BRI Kinondoni Municipal
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

Menejimenti ya RITA
[ View Pictures..... ]

Katibu Mkuu
[ View Pictures..... ]

UFUNGUZI WA MAFUNZO BAGAMOYO
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA MAFUNZO
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI WA 6-18 (BRI)
[ View Pictures..... ]