Taarifa inatolewa kwa Vyama vyote ambavyo havijawasilisha marejesho ya wadhamini mpaka kufikia mwaka 2018, kufanya hivyo mara moja ili kuuwezesha Wakala kuwa na kumbukumbu sahihi katika Daftari la Msimamizi Mkuu...
Ifuatayo ni orodha ya wafungishaji ndoa waliopo katika daftari la Msajili Mkuu wa Ndoa na Talaka. Kama kuna mfungishaji ndoa ambaye jina lake halipo katika orodha hii tafadhali wasiliana na ofisi ya Msajili Mkuu wa Ndoa na Talaka ukiwa na nakala yako ya l
Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) unategemea kufanya maboresho ya usajili wa vifo mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu sahihi za vifo na sababu zake zitakazosaidia serikali na wadau mbalimbali kuchukua hatua